OMBEA FIKIRA

*πŸ–Š TAMBUA UMUHIMU WA KUOMBEA FIKIRA ,MAWAZO NA AKILI YAKO πŸ–Š*


Somo la 1


Mwl.Peter Francis Masanja

0679392829


πŸ“– 1 Basi, ndugu zangu, nawasihi, kwa huruma zake Mungu, itoeni miili yenu iwe dhabihu iliyo hai, takatifu, ya kumpendeza Mungu, ndiyo ibada yenu yenye maana.

Warumi 12 :1

2 Wala msiifuatishe namna ya dunia hii; *bali mgeuzwe kwa kufanywa upya nia zenu,* mpate kujua hakika mapenzi ya Mungu yaliyo mema, ya kumpendeza, na ukamilifu.


Warumi 12 :2


πŸ“– Kwa hiyo, ndugu zangu, maadamu Mungu ni mwenye huruma nyingi, nawasihi kwa moyo wote: Mtoleeni Mungu miili yenu kama tambiko iliyo hai, takatifu na yenye kupendeza. Hii ndiyo njia yenu halisi ya kumwabudu. Msiige mitindo ya ulimwengu huu, *bali Mungu afanye mabadiliko ndani yenu kwa kuzigeuza fikira zenu.* Hapo ndipo mtakapoweza kuyajua mapenzi ya Mungu na kutambua jambo lililo jema, linalompendeza na kamilifu.


Waroma 12:1‭-‬2 BHND


πŸ“– And so, dear brothers and sisters, I plead with you to give your bodies to God because of all he has done for you. Let them be a living and holy sacrifice—the kind he will find acceptable. This is truly the way to worship him.  Don’t copy the behavior and customs of this world, *but let God transform you into a new person by changing the way you think.* Then you will learn to know God’s will for you, which is good and pleasing and perfect.

Romans 12:1‭-‬2 NLT


πŸ“– Therefore I urge you, brothers and sisters, by the mercies of God, to present your bodies [dedicating all of yourselves, set apart] as a living sacrifice, holy and well-pleasing to God, which is your rational (logical, intelligent) act of worship. And do not be conformed to this world [any longer with its superficial values and customs], *but be transformed and progressively changed [as you mature spiritually] by the renewing of your mind [focusing on godly values and ethical attitudes],* so that you may prove [for yourselves] what the will of God is, that which is good and acceptable and perfect [in His plan and purpose for you].


ROMANS 12:1‭-‬2 AMP


πŸ–ŠAnachokitafta shetani katika maisha yako ni fikira au akili yako .


πŸ–Š Anachokitafta shetani ni kuwaza kwako wewe .


πŸ–Š Anashambulia akili ya mwanadamu ili asiwaze ya Mungu awaze ya wanadamu .



πŸ–Š Nataka tuone mfano aliposhambulia akili ya Petro akawa anawaza ya wanadamu akaacha kuwaza ya Mungu .


πŸ–Š Tusome hapa πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»


πŸ“–: Akageuka, akamwambia Petro, Nenda nyuma yangu, Shetani; u kikwazo kwangu; maana huyawazi yaliyo ya Mungu, bali ya wanadamu.


Mathayo 16:23

πŸ–ŠShetani alishambulia fikira za Petro akashindwa kumtegea Mungu akawaza kibinadamu .

Ndipo Yesu akamkemea .


πŸ–Š Naam , kuna wakati unakwazwa siyo kwamba ni mtu bali ni ibilisi amemtumia huyo mtu ili akutoe kwenye uwepo wa Mungu uanze kufikiria mabaya kuliko kufikiria mambo ya Mungu .


πŸ–ŠOmbea fikira au akili yako maana shetani hutafta atawale ili

πŸ–ŠMungu akugeuze kufikiri kwako ufikirie ukuu wake kila wakati 🚢🏻‍♂🚢🏻‍♂🚢🏻‍♂🚢🏻‍♂

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FAIDA YA KUJAA ROHO MTAKATIFU

NGUVU NA FAIDA ZA MSAMAHA

πŸ”° MBINU ZA KUFUNGA NA KUOMBA πŸ›*