UASHERATI USITAJWE KWAKO

*πŸ–ŠUASHERATI USITAJWE KWAKO πŸ–Š*

1 February 2019

Morning glory

Mwl.Peter Francis Masanja

0679392829


πŸ“– Lakini uasherati usitajwe kwenu kamwe, wala uchafu wo wote wa kutamani, kama iwastahilivyo watakatifu;


Waefeso 5:3


πŸ–Š Kijana yeyote aliyeokoka asipatikane na uasherati .

πŸ–Š Kijana yeyote aliyeokoka asiuchafue mwili wake kwa uasherati

πŸ–Š Bali asubiri aoe au aolewe kama iwastahilivyo watakatifu.


πŸ–Š Naam , Uasherati ni kitendo cha kujihusisha na michezo ya ngono kabla ya ndoa ( sex before marriage ).


πŸ–Š Kwa kijana aliyeokoka huu ni uchafu na unamuua kiroho na kimwili .


πŸ–Š Naam , hii huja kusumbua ndoa sana .

Kwa mapana zaidi tembelea somo langu liitwalo

Kwanini ujitunze mpaka uoe au uolewe ❓


https://play.google.com/store/apps/details?id=com.sauti.ya.mungu.ministry

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FAIDA YA KUJAA ROHO MTAKATIFU

NGUVU NA FAIDA ZA MSAMAHA

πŸ”° MBINU ZA KUFUNGA NA KUOMBA πŸ›*