ZITAFAKARI NJIA ZAKO

πŸ–Š ZITAFAKARI NJIA ZAKO πŸ–Š

17 January 2019

Morning glory


Mwl.Peter Francis Masanja

0679392829


πŸ–Š Wewe baba, mama, kaka na dada .


πŸ–Š Ujana ni kipindi ambacho mwili unashindana na roho ❓


πŸ–Š Ujana ni kipindi cha vita vikali sana dhidi ya dhambi na lazima uishinde dhambi


πŸ–ŠLakini nina neno juu yako nalo ni hili


πŸ–Š Katika maisha yako usiishi maisha ya dhambi ukisema utatubu tu ipo siku .


πŸ–Š Au kijana mwenzangu unajua siku na saa yako ya kufa ❓


πŸ–Š Ujue kufa siyo mpaka uumwe unaweza kudondoka tu ukafa au ukalala usiku ndyo kufa kwako huamki tena ⚰


πŸ–Š Unakumbatia dhambi gani unajifariji utatubu tu ❓


πŸ–Š Jiulize ikitokea saivi umekata roho utaenda mbinguni siku ya hukumu au utaenda jehanamu ❓


πŸ–Š Basi acha njia mbaya jiweke tayari maana hujui ni saa ipi na mda gani Yesu Kristo anakuja

Vivyo hivyo na kufa kwako hujui ni lini .

Somaaa hapaa✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻



πŸ“– 40 Nanyi jiwekeni tayari, kwa kuwa saa msiyodhani ndipo ajapo Mwana wa Adamu.

Luka 12 :40



πŸ–Š Jiweke tayari mda wote .Safisha njia zako

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FAIDA YA KUJAA ROHO MTAKATIFU

NGUVU NA FAIDA ZA MSAMAHA

πŸ”° MBINU ZA KUFUNGA NA KUOMBA πŸ›*