ZITAFAKARI NJIA ZAKO

*πŸ–ŠZITAFAKARI NJIA ZAKO* πŸ–Š

Morning glory

23 January 2019


Mwl.Peter Francis Masanja

0679392829

SAUTI YA MUNGU MINISTRY


πŸ–Š Bwana Yesu Kristo apewe sifa


πŸ–Š Nikukumbushe tu kuwa Musa aliambiwa avue viatu vyake maana mahali alipokuwa amekanyaga ni patakatifu yaani ni pasafi hapanuki dhambi yoyote.


πŸ–Š Hii ni kwa sababu aliyekuwepo pale kwenye kijiti naye ni mtakatifu , kwahiyo ilimbidi Musa naye avue uchafu ili aweze kumsogelea .


πŸ–Š Inawezekana kabisa rafiki yangu unamwomba Mungu akutendee jambo fulani lakini huoni matokeo .

πŸ–Š Inawezekana tatizo ni njia zako mbaya yaani matendo yako maovu hayo ni kiatu kinakuzuia Mungu kumfanya awe rafiki yako I'll uombapo asikie kuomba kwako .

πŸ–Š Dhambi hiyo ni kiatu kinakuzuia kumkaribia Mungu na kumfanya asizungumze na wewe .

πŸ–Š Kivue hicho kiatu yaani dhambi kwa kutubu na kuacha kabisa ili Mungu azungumze na wewe kama Musa alivyoweza kuvua viatu vyake


πŸ“– 5 Naye akasema, Usikaribie hapa; vua viatu vyako miguuni mwako; maana mahali hapo unaposimama ni nchi takatifu.

Kutoka 3 :5



Zitafakari njia zako


Mungu akubariki sana

πŸ›πŸ›πŸ›πŸ›πŸ›πŸ›πŸ›πŸ›πŸ›πŸ›πŸ›

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FAIDA YA KUJAA ROHO MTAKATIFU

NGUVU NA FAIDA ZA MSAMAHA

πŸ”° MBINU ZA KUFUNGA NA KUOMBA πŸ›*