MAJIBU YA MAOMBI YAKO NI MATOKEO YA WEWE KUKAA NDANI YA YESU 🛐*

*🖊MAJIBU YA MAOMBI YAKO NI MATOKEO YA WEWE KUKAA NDANI YA YESU 🛐*

15 February 2019
Morning glory

Mwl.Peter Francis Masanja
0679392829


https://play.google.com/store/apps/details?id=com.sauti.ya.mungu.ministry



🖊 Tafta sana kukaa ndani ya Yesu ili ujibiwe uombacho .

🖊 Pia neno la Kristo likae ndani yako ili kuomba kwako kusikiwe.


📖 *7 Ninyi mkikaa ndani yangu, na maneno yangu yakikaa ndani yenu, ombeni mtakalo lote nanyi mtatendewa.*

Yohana 15 :7


🖊 Mfumo wa maisha yako umpendeze Mungu ili kila uombalo lipate kibali .

🖊 Watu wakuonapo wamshuhudie Yesu akaaye ndani yako .


Mungu akubariki sana .

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FAIDA YA KUJAA ROHO MTAKATIFU

NGUVU NA FAIDA ZA MSAMAHA

🔰 MBINU ZA KUFUNGA NA KUOMBA 🛐*