HEKIMA KWA MABINTI ✍🏻

*πŸ–Š HEKIMA KWA MABINTI ✍🏻*



Mwl.Peter Francis Masanja

0679392829


✍🏻 NI VIZURI UJUE KUWA ULIUMBWA ILI UPENDWE NA MUME


✍🏻 NI VIZURI UJUE KUWA TARATIBU ZA KUFIKIA NDOA NI

URAFIKI-UCHUMBA-NDOA - TENDO LA NDOA


✍🏻 USIRUHUSU MAHUSIANO YAKO YAPITIE HATUA HII

πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

URAFIKI /UCHUMBA- UASHERATI - NDOA


MAHUSIANO YA NAMNA HIYO SIYO MATAKATIFU



✍🏻 EPUKANA NA MWANAUME ANAYEONYESHA KUTOKUSIKILIZA UNACHOMSHAURI AU KUMREKEBISHA KABLA YA NDOA , HUYO HATAKUSIKILIZA NDANI YA NDOA NA HATA KAMA KAKOSEA HATASEMA SAMAHANI NAOMBA UNISAMEHE .


✍🏻 USIWEKEZE SANA KUMPIGIA SIMU MWANAUME NA KUMPENDA KULIKO YEYE , YEYE NDIYE WA KUKUTAFTA WEWE UA LAKE LA THAMANI NA KUKUULIZA UNAENDELEAJE ,UMEAMKAJE ,N.K MAANA MUNGU KAMUUMBA MUME KUMPENDA MKEWE


✍🏻 UKIONA MWANAUME AMEKUWA MZITO KUKUJULIA HALI WAKATI MWINGINE MNAPISHANA MITANDAONI UJUE AMEONA WEWE SIYE WA VIWANGO VYAKE


✍🏻 USIJIHANGAISHE NA MWANAUME ASIYE MKWELI NA MWAMINIFU


✍🏻 USIJITAABISHE NA MWANAUME ANAYETUKANA MATUSI ,HATA KAMA HAJAKUTUKANA WEWE UMEMSIKIA ANATUKANA WATU MATUSI .MWANAUME MTUKANAJI NI MPIGAJI WA MKEWE


✍🏻 EPUKANA NA MWANAUME MLEVI NA MTUMIA SIGARA PALIPO NA ULEVI KUNA UASHERATI NA UZINZI .



✍🏻 MWANAUME ANAYEKUPENDA NA MWENYE NIA YA KUKUOA HATAKUOMBA MZINI KWANZA NDIYO AKUOE .



✍🏻 UPENDO HAUPIMWI KWA KULALA NA MWANAUME KABLA YA NDOA ,


✍🏻 SIYO KILA MWANAUME ANAYEKUJIA AKISEMA ANAKUPENDA ANATAKA AKUOE NI MUOAJI ❌❌❌❌ WENGI HUTUMIA SABABU YA KUKUOA ILI UWAKUBALIE UFANYE NAO NGONO WAKIFANIKIWA TU YA KWAO BASI WANAKUACHA NA WAKATI MWINGINE WATAKUTUKANA UNΓ€WASUMBUA


✍🏻MUME MUOAJI AKUSHIRIKISHA NA KUKUOMBA USHAURI JUU YA MAMBO YAKE KAMA HAJAWAHI KUKUSHIRIKISHA AU KUKUOMBA USHAURI TAMBUA AKIKUOA UNAWEZA USISHIRIKISHWE ATAFANYA MAMBO KWA KUJIAMULIA ATAKAVYO





UONAPO HAYA USIKUBALI KAMWE MWOMBE MUNGU AKUPE WAKO PEKE YAKO


πŸ“– *Mwenye busara huyaona mabaya na kujificha; Bali wajinga huendelea mbele wakaumia.*


Mithali 22:3

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FAIDA YA KUJAA ROHO MTAKATIFU

NGUVU NA FAIDA ZA MSAMAHA

πŸ”° MBINU ZA KUFUNGA NA KUOMBA πŸ›*