OLE WAO WACHUNGAJI

*OLE WAO WACHUGAJI WANAFIKI NA WAOVU......*🀨🀨



✍✍✍✍✍✍✍✍
Yohana 1:21-23
[21] *Wakamwuliza, Ni nini basi? U Eliya wewe? Akasema, Mimi siye. Wewe u nabii yule? Akajibu, La.*

[22] *Basi wakamwambia, U nani? Tuwape majibu wale waliotupeleka. Wanenaje juu ya nafsi yako?*

[23]Akasema, *Mimi ni sauti ya mtu aliaye nyikani, Inyosheni njia ya Bwana! Kama vile alivyonena nabii Isaya.*
WAKIKUULIZA WEWE NI NANI, SEMA πŸ‘‰ *NI SAUTI YA ALIAYE NYIKANI,* TENGENEZA NJIA YA BWANA, NYOOSHA MAPITO YAKE....🀝

*NDIPO BWANA AKANIAMBIA; SEMA!*πŸ—£

Ezekieli 34:2
[2]Mwanadamu, *toa unabii juu ya wachungaji wa Israeli, toa unabii, uwaambie, naam, hao wachungaji, Bwana MUNGU asema hivi; Ole wao wachungaji wa Israeli, wanaojilisha wenyewe; je! Haiwapasi wachungaji kuwalisha kondoo?*

πŸ‘¨‍πŸ’»πŸ‘¨‍πŸ’»πŸ‘¨‍πŸ’»πŸ‘¨‍πŸ’»πŸ‘¨‍πŸ’»πŸ‘¨‍πŸ’»πŸ‘¨‍πŸ’»πŸ‘¨‍πŸ’»
OLE WAO WACHUNGAJI WANAOHUBIRI KUWA *ZAKA* IMEFUTWA NA HAIPO, NA HUKU *MAKANISANI* KWAO WAO WANAENDELEA KUTOZA NA KUDAI HIZO ZAKA... *ASEMA BWANA...*πŸ‘‰πŸ•Š

OLE WAO WACHUNGAJI WALE WANAOOWAACHA NA KUWADHARAU *WATUMISHI WANGU WADOGO,* NA KISHA WAKISHA INUKA HUWAFUATA KATIKA *MAKANISA WALIPO* NA KUWALIPA FEDHA ILI WAHAMIE KATIKA MAKANISA YAO AMBAKO WALIWAKATAA MWANZO,NA HUKU WAKIJIITA "MABABA WA KIROHO"... *ASEMA BWANA...*πŸ‘‰πŸ•Š

OLE WAO WACHUNGAJI *WAASI,* WANAOWAPIGA TEKE *WAIMBAJI WANGU WAINJILI WADOGO,* NA KUSUBIRI AKISHA JIKONGONJA MWENYEWE NA KUFIKA *HATUA MOJA,* HUMFUATA KUTAKA AWE *MENEJA WAKE* ILI TU APATE KUMTUMIA KWA MANUFAA YAKE MWENYEWE,NA AKISHA KUMTUMIA HUMTUPA TENA... *ASEMA ROHO WA MUNGU...*πŸ‘‰πŸ•Š

OLE WACHUNGAJI *VIPOFU,*😎 AMBAO HAWAWAONI *VIONGOZI WAO WAIBADA ZA SIFA NA KUABUDU* WAPANDAO MADHABAUNI NA *NGUO ZA KIKE NA ZA KUBANA NA HUKU WAO NI WA KIUME,* WAVAAO KAMA WATU WA DUNIA, KWA *NGUO FUPI NA ZA KIKAHABA NA KISHOGA,* NA HUKU WAKIWAOGOPA HATA KUWAONYA KWAKUWA TU WANA *MAJINA MAKUBWA  KATIKA HUDUMA,* NAAM, NA *MNAWAKEMEA KINAFIKI* SABABU MNAWAOGOPA NA WENGINE MNAHUSIANA NAO *KWA UZINZI* NA KUINAJISI NYUMBA YANGU... *ASEMA ROHO...*πŸ‘‰πŸ•Š
Matendo ya Mitume 5:29
[29] *Petro na mitume wakajibu, wakisema, Imetupasa kumtii Mungu kuliko wanadamu.*

✍✍✍✍✍✍✍✍
1 Samweli 3:11-13
[11] *BWANA akamwambia Samweli, Angalia, nitatenda tendo katika Israeli, ambalo kila atakayelisikia masikio yake yatamwasha.*

[12] *Siku hiyo nitayatimiza maneno yale yote niliyoyasema juu ya Eli katika habari za nyumba yake, tangu mwanzo hata mwisho.*

[13] *Kwa maana nimemwambia ya kwamba nitaihukumu nyumba yake milele, kwa ajili ya ule uovu alioujua; kwa kuwa wanawe walijiletea laana, wala yeye hakuwazuia.*

OLE WENU WACHUNGAJI WAOVU AMBAO KUTWA *MNANIOMBA WATU KATIKA HUDUMA ZENU,* NA PINDI NIWALETEAPO, NINYI HUWAANGALIA KAMA *MAVI...* NAAM, LOLOTE MTAKALOLIFANYA KWA MDOGO HUYU, UTAKUWA UMENITENDEA MIMI VIVYO..... *ASEMA ROHO MTAKATIFU WA MUNGU...*πŸ‘‰πŸ•Š

✍✍✍✍✍✍✍✍
Ufunuo wa Yohana 2:5
[5] *Basi, kumbuka ni wapi ulikoanguka; ukatubu, ukayafanye matendo ya kwanza. Lakini, usipofanya hivyo, naja kwako, nami nitakiondoa kinara chako katika mahali pake, usipotubu.*

Ufunuo wa Yohana 2:16
[16] *Basi tubu; na usipotubu, naja kwako upesi, nami nitafanya vita juu yao kwa huo upanga wa kinywa changu.*

KAMA BWANA AISHIVYO
1 Wafalme:22.14
*Mikaya akasema, KAMA BWANA AISHIVYO, NENO LILE BWANA ANIAMBIALO, NDILO NITAKALOLINENA.*πŸ—£

*SHTUKA,πŸ€”CHUKUA HATUA...πŸ’ƒ*

MTU WA MUNGU, HATUA ZI JUU YAKO, KABLA BWANA HAJACHUKUA *HATUA KWAKO..*πŸ’ŽπŸ‘Œ

*BWANA ASEMA;*πŸ‘‡

*HERI WASIKIAO NA KUTAZAMA NYAKATI⌚!....πŸ—£(KWA MAANA KWA WATU WALE HAPANA ASUBUHI).⛅☄*

*KAULI MBIU*...UTAWAHUKUMUJE WAKATI BADO HUJAWAFIKIA? *NAAM,* TUMEKWISHA FIKA, SASAπŸ‘‰ *POKEA ROHO MTAKATIFU* KISHA JIHUKUMU MWENYEWE.. *WAKRISTO TUUNGANE KUWA MWILI MMOJA NA "ADUI ATAJITENGA".*🀝🀝

MWENYE MASIKIOπŸ‘‚ NA ASIKIE, MWENYE MACHOπŸ‘€ NA ATAZAME MANENO HAYA AMBAYO ROHO AYAAMBIA MAKANISA....

*Prophet: Frank Misigalo/                     Nabii: Mtu wa Mungu!*

πŸ•ŠKingdom Voice of God Ministry/Huduma ya Sauti ya Mungu...πŸ—£πŸ•Š

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FAIDA YA KUJAA ROHO MTAKATIFU

NGUVU NA FAIDA ZA MSAMAHA

πŸ”° MBINU ZA KUFUNGA NA KUOMBA πŸ›*