USINIHUKUMU

*πŸ”° USINIHUKUMU WEWE SIYO MUNGU MPAKA UTOE HUKUMU 😑*

Morning Glory
10 April 2019

Mwl.Peter Francis Masanja

0679392829

πŸ”° 1 Msihukumu, msije mkahukumiwa ninyi.

Mathayo 7 :1

πŸ–ŠUsitumie hili andiko kukataa maonyo kwamba ukiambiwa usipotubu hiyo dhambi itakupeleka motoni πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯



πŸ–Š Sikiliza nikwambie wewe usemaye kuonywa ni kuhukumiwa .

πŸ–Š Katika pitapita zangu za kuonya na kushauri watu huenda nilikusikia ukiambiwa tubu dhambi hiyo uliyoikumbatia la sivyo itakuua yaani itakupeleka jehanamu .πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯


πŸ–ŠLakini wewe ukamwambia anayekwambia tubu ukisema 🎀tena kwa herufi kubwa
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 *USINIHUKUMU WEWE SIYO MUNGU MPAKA UTOE HUKUMU KWANGU*


πŸ–Š Ole wako , Ole wako , Ole wako πŸ—£πŸ—£πŸ—£

πŸ–Š Upo kanisani na unasema umeokoka huku unakataa maonyo ya watu ambao Mungu kawatuma ili wakuonyeshe njia sahihi ya kuiendea ili usiende jehanamu πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯


πŸ–Š BWANA amenituma akisema πŸ—£πŸ—£πŸ—£πŸ—£


πŸ”° 1 Siku hizo Hezekia akaugua, akawa katika hatari ya kufa. Isaya, nabii, mwana wa Amozi, akamjia akamwambia, Bwana asema hivi, Tengeza mambo ya nyumba yako; maana utakufa, wala hutapona.

2 Wafalme 20 :1

2 Basi Hezekia akajigeuza, akaelekeza uso wake ukutani, akamwomba Bwana akasema,

2 Wafalme 20 :2


πŸ–Š Wewe umeugua kwa sababu ya dhambi ambayo hutaki kutubu upo katika hali ya kufa usipotubu utakufa hakika .

πŸ–Š Maana mshahara wa dhambi ni mauti ( uharibifu , kifo , jehanamu ).Tubu kabla hujafa maana hujui lini utakufa .Usiseme ipo siku utatubu tu

πŸ–ŠTengeneza mambo yako na kama hujampokea Yesu Kristo awe Bwana na mwokozi wa maisha yako ujue hakuna kwenda mbinguni ,huna uzima wa milele huenda na hapo ukasema nakuhukumu jua kwamba siyo mimi nasema BWANA asema πŸ—£πŸ—£πŸ—£

Amua leo , Amua


Mungu akubariki

Karibu kesho tena

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FAIDA YA KUJAA ROHO MTAKATIFU

NGUVU NA FAIDA ZA MSAMAHA

πŸ”° MBINU ZA KUFUNGA NA KUOMBA πŸ›*