HUTATUKANWA TENA ๐*

*๐ HUTATUKANWA TENA ๐* Night service 27 February 2019 Mwl.Peter Francis Masanja 0679392829 ๐ *30 Nami nitazidisha matunda ya miti, na mazao ya mashamba, msipate tena kutukanwa na mataifa kwa sababu ya njaa.* Ezekieli 36 :30 ๐ Shetani anatumia kigezo cha umaskini kuwatukana wana wa Mungu . ๐ Wengi amewadanganya na kuwa awape utajiri ili wawe na maisha ya fraha na ya kushiba wakamtumikia wakaangamia . ๐ Wengine wameona mali wakaolewa wakitazamia wataishi maisha yasiyo na njaa kushiba wameshiba lakini amani ndani ya ndoa haipo. ๐ Ni heri kuvumilia njaa ya mda mfupi ikiwa ni mapenzi ya Mungu umsuburi akuinue ili usitukanwe na mataifa kuliko kukimbilia shibe mikononi mwa shetani ukapata aibu ya milele . ๐ Naam , shetani ni muongo sana angalia hapa uongo aliotaka kumwingizia Yesu Kristo ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐ 5 Akampandisha juu, akamwonyesha milki zote za ulimwengu kwa dakika moja. Luka 4 :5 6 Ibilisi akamwambia, Nitakupa wewe enzi hii yot...