Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Machi, 2019

OLE WAO WACHUNGAJI

*OLE WAO WACHUGAJI WANAFIKI NA WAOVU......*🀨🀨 ✍✍✍✍✍✍✍✍ Yohana 1:21-23 [21] *Wakamwuliza, Ni nini basi? U Eliya wewe? Akasema, Mimi siye. Wewe u nabii yule? Akajibu, La.* [22] *Basi wakamwambia, U nani? Tuwape majibu wale waliotupeleka. Wanenaje juu ya nafsi yako?* [23]Akasema, *Mimi ni sauti ya mtu aliaye nyikani, Inyosheni njia ya Bwana! Kama vile alivyonena nabii Isaya.* WAKIKUULIZA WEWE NI NANI, SEMA πŸ‘‰ *NI SAUTI YA ALIAYE NYIKANI,* TENGENEZA NJIA YA BWANA, NYOOSHA MAPITO YAKE....🀝 *NDIPO BWANA AKANIAMBIA; SEMA!*πŸ—£ Ezekieli 34:2 [2]Mwanadamu, *toa unabii juu ya wachungaji wa Israeli, toa unabii, uwaambie, naam, hao wachungaji, Bwana MUNGU asema hivi; Ole wao wachungaji wa Israeli, wanaojilisha wenyewe; je! Haiwapasi wachungaji kuwalisha kondoo?* πŸ‘¨β€πŸ’»πŸ‘¨β€πŸ’»πŸ‘¨β€πŸ’»πŸ‘¨β€πŸ’»πŸ‘¨β€πŸ’»πŸ‘¨β€πŸ’»πŸ‘¨β€πŸ’»πŸ‘¨β€πŸ’» OLE WAO WACHUNGAJI WANAOHUBIRI KUWA *ZAKA* IMEFUTWA NA HAIPO, NA HUKU *MAKANISANI* KWAO WAO WANAENDELEA KUTOZA NA KUDAI HIZO ZAKA... *ASEMA BWANA...*πŸ‘‰πŸ•Š OLE WAO WACHUNGAJI WAL...
Picha
πŸ–Š HEKIMA KWA MABINTI ✍🏻 Mwl.Peter Francis Masanja 0679392829 ✍🏻 NI VIZURI UJUE KUWA ULIUMBWA ILI UPENDWE NA MUME ✍🏻 NI VIZURI UJUE KUWA TARATIBU ZA KUFIKIA NDOA NI URAFIKI-UCHUMBA-NDOA - TENDO LA NDOA ✍🏻 USIRUHUSU MAHUSIANO YAKO YAPITIE HATUA HII πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ URAFIKI /UCHUMBA- UASHERATI - NDOA MAHUSIANO YA NAMNA HIYO SIYO MATAKATIFU ✍🏻 EPUKANA NA MWANAUME ANAYEONYESHA KUTOKUSIKILIZA UNACHOMSHAURI AU KUMREKEBISHA KABLA YA NDOA , HUYO HATAKUSIKILIZA NDANI YA NDOA NA HATA KAMA KAKOSEA HATASEMA SAMAHANI NAOMBA UNISAMEHE . ✍🏻 USIWEKEZE SANA KUMPIGIA SIMU MWANAUME NA KUMPENDA KULIKO YEYE , YEYE NDIYE WA KUKUTAFTA WEWE UA LAKE LA THAMANI NA KUKUULIZA UNAENDELEAJE ,UMEAMKAJE ,N.K MAANA MUNGU KAMUUMBA MUME KUMPENDA MKEWE ✍🏻 UKIONA MWANAUME AMEKUWA MZITO KUKUJULIA HALI WAKATI MWINGINE MNAPISHANA MITANDAONI UJUE AMEONA WEWE SIYE WA VIWANGO VYAKE ✍🏻 USIJIHANGAISHE NA MWANAUME ASIYE MKWELI NA MWAMINIFU ✍🏻 USIJITAABISHE NA MWANAUME ANAYETUKA...

HEKIMA KWA MABINTI ✍🏻

*πŸ–Š HEKIMA KWA MABINTI ✍🏻 * Mwl.Peter Francis Masanja 0679392829 ✍🏻 NI VIZURI UJUE KUWA ULIUMBWA ILI UPENDWE NA MUME ✍🏻 NI VIZURI UJUE KUWA TARATIBU ZA KUFIKIA NDOA NI URAFIKI-UCHUMBA-NDOA - TENDO LA NDOA ✍🏻 USIRUHUSU MAHUSIANO YAKO YAPITIE HATUA HII πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ URAFIKI /UCHUMBA- UASHERATI - NDOA MAHUSIANO YA NAMNA HIYO SIYO MATAKATIFU ✍🏻 EPUKANA NA MWANAUME ANAYEONYESHA KUTOKUSIKILIZA UNACHOMSHAURI AU KUMREKEBISHA KABLA YA NDOA , HUYO HATAKUSIKILIZA NDANI YA NDOA NA HATA KAMA KAKOSEA HATASEMA SAMAHANI NAOMBA UNISAMEHE . ✍🏻 USIWEKEZE SANA KUMPIGIA SIMU MWANAUME NA KUMPENDA KULIKO YEYE , YEYE NDIYE WA KUKUTAFTA WEWE UA LAKE LA THAMANI NA KUKUULIZA UNAENDELEAJE ,UMEAMKAJE ,N.K MAANA MUNGU KAMUUMBA MUME KUMPENDA MKEWE ✍🏻 UKIONA MWANAUME AMEKUWA MZITO KUKUJULIA HALI WAKATI MWINGINE MNAPISHANA MITANDAONI UJUE AMEONA WEWE SIYE WA VIWANGO VYAKE ✍🏻 USIJIHANGAISHE NA MWANAUME ASIYE MKWELI NA MWAMINIFU ✍🏻 USIJITAABISHE NA MWANAUME ANAYETUKA...

KUWA RAFIKI WA MUNGU

*πŸ–Š MUNGU ANATENDA KAZI NA MARAFIKI ZAKE πŸ–Š* Mwl.Peter Francis Masanja 0679392829 πŸ–Š Rafiki wa Mungu ni yule atendaye ambayo Mungu kamwaamuru kutenda. πŸ–Š Rafiki wa Mungu ni yule aliyejitoa kwaajili ya kumtumikia Mungu na kuishi maisha matakatifu . πŸ“– *Ninyi mmekuwa rafiki zangu, mkitenda niwaamuruyo* . Yohana 15:14 πŸ–Š Kuongea na Mungu ni jambo jepesi ukiwa mtii . πŸ“– *Naye Bwana akasema na Musa uso kwa uso, kama vile mtu asemavyo na rafiki yake.* Kisha akageuka akarejea hata maragoni; bali mtumishi wake Yoshua, mwana wa Nuni, naye ni kijana, hakutoka mle hemani. Kutoka 33:11 πŸ–ŠMtu akiwa rafiki wa Mungu atapata mengi toka kwake . πŸ–Š Kwa kawaida marafiki hufanana tabia na mwenendo πŸ–Š Mungu ni mtakatifu na rafiki zake pia ni watakatifu ndio anatembea nao pamoja . πŸ“– *Kwa kuwa mimi ni Bwana niliyewaleta kutoka nchi ya Misri, ili kwamba niwe Mungu wenu; basi mtakuwa watakatifu, kwa kuwa mimi ni Mtakatifu* Mambo ya Walawi 11:45 πŸ–Š Ukitaka kupishana na Mungu kuwa ...

NAKUANDIKIA HAYA UYAFAHAMU

*πŸ–Š NAKUANDIKIA HAYA UYAFAHAMU πŸ–Š* Mwl.Peter Francis Masanja 0679392829 πŸ–Š Matendo mema hayampeleki mtu mbinguni ❌❌ πŸ–Š Jifikirie sana , unaweza ukatenda mema kwa watu na ukawa mwovu kabisa mbele za Mungu . πŸ–Š Fikiria hata kahaba na mwizi anaweza kutendea watu mema . πŸ–Š Fikiria wengine ni wafanya kazi wanaiba fedha na huku pia wanasaidia watu . πŸ–Š Fikiria wazinzi nao hujitoa kuhudumia familia za watu na kusomesha mabinti za watu 😁😁😁 πŸ–Š Njia nzuri ya kuurithi uzima wa milele ni kuwa mtakatifu mbele zake Mungu bila kusahau kumkiri Kristo . πŸ–Š Tenda mema kwa watu huku ukiishi dhambini ukifa watasema ulitenda mema , hayo mema Mungu hayajui kama hukuwa Mtakatifu Watasema R.I.P bure haikufanyi Mungu akupe kibali cha kuingia katika ufalme wa mbinguni . Uwe makini sana siyo kila atendaye mema ataingia katika ufalme wa mbinguni Bali yule aishie maisha matakatifu Rejea Mathayo 7:21-23 Tambua basi kuwa si kila atendaye mema kwa watu ataurithi ufalme wa mbi...

MSINGI WA MAOMBI

*πŸ–Š UOMBAPO OMBA KWAAJILI YA KUMFANYIA MUNGU JAMBO πŸ–Š* Mwl.Peter Francis Masanja 0679392829 πŸ“– 20 Yakobo akaweka nadhiri akisema, Mungu akiwa pamoja nami, akinilinda katika njia niiendeayo, na kunipa chakula nile, na nguo nivae; Mwanzo 28 :20 21 nami nikirudi kwa amani nyumbani kwa baba yangu, ndipo Bwana atakuwa Mungu wangu. Mwanzo 28 :21 22 Na jiwe hili nililolisimamisha kama nguzo litakuwa nyumba ya Mungu; na katika kila utakalonipa hakika nitakutolea wewe sehemu ya kumi. Mwanzo 28 :22 πŸ–Š Kile alichokiomba Yakobo alikiomba ili akitumie kwa ajili ya kazi ya Mungu . πŸ–Š Hakuomba ili ashindane na watu au ajionyeshe kwa watu .Aliomba ili kubarikiwa kwake kuambatane na kufanya kazi ya Mungu . πŸ“– Hata mwaomba, wala hampati kwa sababu mwaomba vibaya, ili mvitumie kwa tamaa zenu. Yakobo 4:3 πŸ–Š Aliomba ili atumie kwa kazi ya Mungu na siyo kwa tamaa zake . πŸ–Š Nakukumbusha uombapo zingatia utamfanyia nini Mungu ? πŸ–Š Maana wengi akiwabariki humsahau na kugeukia ...