AHADI YA MUNGU

*📖👨🏻💻AHADI YA MUNGU* 👉Kumseta shetani chini ya miguu yako 📖👨🏻💻 20 Naye Mungu wa amani atamseta Shetani chini ya miguu yenu upesi. Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo na iwe pamoja nanyi. [Amina.] Warumi 16 :20 👉 Kukukomboa na nguvu za kaburi na roho ya mauti 📖👨🏻💻 14 Nitawakomboa na nguvu za kaburi; nitawaokoa na mauti; ewe mauti, ya wapi mapigo yako? Ewe kaburi, ku wapi kuharibu kwako? Kujuta kutafichwa na macho yangu. Hosea 13 :14 👉 Kukupatia ulinzi 📖👨🏻💻 6 Nimeweka walinzi juu ya kuta zako, Ee Yerusalemu; hawatanyamaza mchana wala usiku; ninyi wenye kumkumbusha Bwana, msi we na kimya; Isaya 62 :6 https://peterfrancismasanja.blogspot.com