UMUHIMU WA MAOMBI YA KILA SIKU
[1/26, 22:22] Mr Zawad Ngailo: *UMUHIMU WA MAOMBI YA KILA SIKU* Mpendwa msomaji Kwa muda mrefu nimekuwa nikikuletea mfululizo wa masomo kuhusu Maombi na Leo nakuletea ujumbe mfupi unaozungumzia umuhimu wa Maombi ya kila siku. Maombi ni njia nzuri ya kuwasiliana na Mungu . Ni gari ya kila siku inayobeba majibizano na mmoja aliyetuumba sisi . Umuhimu wa Maombi ya kila siku hatuwezi kuuzidisha kwa kiwango cha ziada wala kukadiriwa . Ni muhimu na Biblia ndio maana inatuonyesha zaidi ya 200 Umuhimu wa Maombi ✍Maombi ya kila siku yanatupa nafasi ya kushirikishana vitu vyote vinavyohusu MAISHA yetu na Mungu ✍Yanatupa nafasi ya kuelezea uzuri wa matendo aliyotutendea ✍Yanatupa nafasi ya kutubu dhambi zetu na kuomba msaada ili kuepukana na dhambi ✍Ni kitendo cha kumwabudu na kumtii Mungu ✍Ni kitendo cha kumshukuru Mungu kwa kuyaongoza MAISHA yetu 1⃣Kutupa nafasi ya kubadilishana vitu vinavyohusu maisha yetu Msingi wa Maisha unabadiliki ...