*KUMKOMBOA ALIYEFUNGWA NA MIUNGU YA UKOO*
🔥 * KUMKOMBOA ALIYEFUNGWA NA MIUNGU YA UKOO* 🔥 Sehemu ya Kwanza 💒💒💒💒💒💒💒💒💒💒💒💒💒💒💒💒 10 Waliokaa katika giza na uvuli wa mauti, Wamefungwa katika taabu na chuma, Zaburi 107 :10 👉 Mtu alinayetumikishwa na miungu ya ukoo yupo kwenye taabu sana Amefungwa hafurukuti na ana asilimia chache sana za kumjua Mungu Hivyo basi anahitaji kufunguliwa huko alikoshikwa kupitia matambiko na matamko ya ukoo 2 Basi umetegwa kwa maneno ya kinywa chako, Umekamatwa kwa maneno ya kinywa chako, Mithali 6 :2 👉Maneno yanakamata maisha ya mtu Hivyo jina lako likiingizwa kwenye orodha ya majina ya ukoo kupitia matambiko utahangaika sana 👉 Unaweza ukashangaa tena baadhi ya familia wanafunga mbuzi wenye mabaka meusi na meupe na wale mbuzi weusi kengele shingoni ili kupitia hao mbuzi wakiomba jambo lolote watalipata Cha ajabu zaidi hao mbuzi wanapewa majina ya mababu waliokwisha kufariki tayari na kuwafanya miungu yao 👉 sasa utakuta unapewa jin...