SABABU ZINAZOFANYA MAOMBI YAKO YAKOSE MAJIBU
📖 * SABABU ZINAZOFANYA MAOMBI YAKO YAKOSE MAJIBU * 📖 _SEHEMU YA TANO_ Mwlm. Peter Francis https://peterfrancismasanja.blogspot.com Karubu tena katika mwendelezo wa somo tuendelee kujifunza Nakuombea kwa Mungu uweze kujifunza kitu hapa na roho wa Mungu akupe ujuzi kupitia somo hili .Amen 👉ZIFUATAZO NI SABABU ZINAZOWEZA KUFANYA MAOMBI YAKO YAKOSE MAJIBU 📖👨🏻💻 _KUSHINDWA KUTUMIA MAMLAKA_ 👉Mamlaka tunayo izungumzia hapa ni ya kiroho ambayo tumepewa na Mungu . Watu wengi walijikuta hawaoni matokeo chanya ya Maombi yao kwa sababu walishindwa kuitumia mamlaka waliyopewa na Mungu 📖 19 Tazama, nimewapa amri ya kukanyaga nyoka na nge, na nguvu zote za yule adui, wala hakuna kitu kitakachowadhuru. Luka 10 :19 👉Wengi walijikuta shetani anawanasa kwa kushindwa kutumia mamlaka vizuri . 👉Ukiitumia mamlaka uliyopewa na Mungu utayaona matendo makuu ya Mungu y...