TOBA NA UTAKATIFU ✝*
* π TOBA NA UTAKATIFU ✝* Mahali : JESUS CO-WORKERS MINISTRY SIKU YA KWANZA Mwl.Peter Francis Masanja 0679392829 *UTANGULIZI* π Bwana Yesu apewe sifa π Nakukaribisha sana katika semina hii ya neno la Mungu upate kujifunza yale ambayo Roho wa Mungu amenipatia hivi leo . π Ikiwa leo ni siku ya kwanza ya semina hii somo letu linasema ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ» πTOBA NA UTAKATIFU π ✍ Tuangalie kwanza maana ya maneno haya mawili . ✍ Toba ni nini ❓ πWhat's repentance ❓ ✍ Toba ni ile hali / kitendo cha kujutia juu ya kosa( dhambi ) ulilolifanya na kuomba msamaha kuwa hutarudia tena kulifanya . π Repentance is the act of showing that you're sorry for something wrong that you have done . ✍ Katika toba kuna kujutia kwa kile ulichokifanya yaani kibaya ulichokifanya . : ✍ Mtu yeyote wa toba lazima ajutie baada ya kutambua kwamba kitendo alichokifanya ni chukizo mbele za Mungu . ✍ Kisha atachukua hatua ya kumwomba Mu...